Yajayo Yanafurahisha (Ft Sulesh Mc Tz) by MeaCon mp3 download , African songs , African Music Chart , African Music , African Artists, Photo Gallery and Free Video Afrocharts
Tanzanian Music
Tanzanian Songs
Tanzanian Artist, Songs, Music
Tanzanian Artist, Songs, Music
african chart,african music chart,african music,east african music,west african music,african hits,afrocharts,afrobeats,afrobeats charts,afro charts,P-Square,Davido,Akon,Wizkid,D'banj,Chimamanda Ngozi Adichie,Don Jazzy,Sarkodie,2face Idibia,Tiwa Savage,Burna Boy,Yemi Alade,Magic System,D'Prince,Korede Bello,Reekado Banks,Skepta,Di'ja,Dr SID,DJ Arafat,Tekno,
Algerian Music,Angolan Music,Beninese Music,Batswana Music,Burkinabe Music,Burundian Music,Cameroonian Music,Cape erdean Music,Central African Republican Music,Chadian Music,Comoran Music,Congolese Music,Djiboutian Music,Egyptian Music,Equatorial Guinean Music,Eritrean Music,Ethiopian Music,Gabonese Music,Gambian Music,Ghanian Music,Guinean Music,Guinean Music,Ivorian Music,Kenyan Music,Basotho Music,Liberian Music,Libyan Music,Madagascan Music,Malawian Music,Malian Music,Mauretanian Music,Mauritian Music,Moroccan Music,Mozambican Music,Namibian Music,Nigerien Music,Nigerian Music,Congolese Music,Reunion Music,Rwandan Music,Saint Helena Music,Sao Tome and Principe Music,Senegalese Music,Seychellois Music,Sierra Leonean Music,Somali Music,South African Music,South Sudanese Music,Sudanese Music,Swazi Music,Tanzanian Music,Togolese Music,Tunisian Music,Ugandan Music,Western Sahara Music,Zambian Music,Zimbabwean Music
Algerian Songs,Angolan Songs,Beninese Songs,Batswana Songs,Burkinabe Songs,Burundian Songs,Cameroonian Songs,Cape erdean Songs,Central African Republican Songs,Chadian Songs,Comoran Songs,Congolese Songs,Djiboutian Songs,Egyptian Songs,Equatorial Guinean Songs,Eritrean Songs,Ethiopian Songs,Gabonese Songs,Gambian Songs,Ghanian Songs,Guinean Songs,Guinean Songs,Ivorian Songs,Kenyan Songs,Basotho Songs,Liberian Songs,Libyan Songs,Madagascan Songs,Malawian Songs,Malian Songs,Mauretanian Songs,Mauritian Songs,Moroccan Songs,Mozambican Songs,Namibian Songs,Nigerien Songs,Nigerian Songs,Congolese Songs,Reunion Songs,Rwandan Songs,Saint Helena Songs,Sao Tome and Principe Songs,Senegalese Songs,Seychellois Songs,Sierra Leonean Songs,Somali Songs,South African Songs,South Sudanese Songs,Sudanese Songs,Swazi Songs,Tanzanian Songs,Togolese Songs,Tunisian Songs,Ugandan Songs,Western Sahara Songs,Zambian Songs,Zimbabwean Songs


Yajayo Yanafurahisha (Ft Sulesh Mc Tz)
MeaConGenre: Bongo Flava
Country: Tanzania
Released: 2025
Yajayo Yanafurahisha *** Picha limeanza Sterling hajulikani, MCHEZO umeanza NYOTA hajulikani, hii Ndoa ndoano bize na tondo,mchepuko kunoga kisa Uhondo ngongo ngoo mpolomoko CD4. TENA Foleni kwa Mgangaaa mbio mbio kwa Mgangaaa, Vunja vunja nazi kila mtu anataka KIKI, MWAGA MWAGA Mboga wanamwaga ugali, Calm down find what mean the peace in real sense of humanity , find out what mean Democracy for the leader stability, love is a power, love the best RELIGION thus why GOD SO LOVE THE WORLD NA mama alizaa mzima kilema masilesile kile, alipewa tuzo kumbe wimbo Sio wake, Aliefungwa jela kumbe kesi sio yake, alietunza mimba leo mwana sio wake, Albadili HABARI ya mjini, Kila mtu mbele misele kila mtu kifua mbele kila mtu apate yeye eee Kila mtu mbele misele kila mtu kifua mbele kila mtu apate yeye eee Yajayooo Yanafurahisha Mafanikio na NGUVU za mila potofu, Yametufanya wengi tuwe dhaifu, Fikra mfu mithili ya nyamafu, mpiganiwa tumbo kwa msukumo wa njaa, kila MTU apate inachochea tamaa, unalizwa ukishangaa ukiduwaa wanapotea wana mbinu nyingi balaaa Acheche che fire, Kila mtu lier kila idara lete ruler Kila MTU anataka cheo mabata kazi kwao, WENGINE NGUVU ilizi, WENGINE msikitini, WENGINE kafara suti lete MBUZI lete kuku ukileta janja huponi, WENGINE kafara suti lete MBUZI lete kuku ukileta janja hutoki, WENGINE kafara suti lete MBUZI lete kuku ukileta janja huponi NA mama alizaa mzima kilema masilesile kile, alipewa tuzo kumbe wimbo Sio wake, Aliefungwa jela kumbe kesi sio yake, alietunza mimba leo mwana sio wake, Albadili HABARI ya mjini, Kila mtu mbele misele kila mtu kifua mbele kila mtu apate yeye eee Kila mtu mbele misele kila mtu kifua mbele kila mtu apate yeye eee Yajayo Yanafurahisha Yajayooo Yajayooo Wake up wake up for your right Stand up, Join us to make solidarity aah Africa UNITY, SAY NO to selfishness, Say no to racism, Why XENOPHOBIA CHANGE we can yes we can, CHANGE we can yes we can, be faithful walk together time eradicate enemies Poverty, Ignorance and Maladies Les amis du Africa Selebuka Se selebu, Les amis du America Selebuka Se selebu, Les amis du Europa Selebuka Se selebu, Les amis du Asia Selebuka Se selebu, Les amis du Australia Selebuka Se selebu, Sulesh Mc .....na MeaConscious **